Daily Archives: Maggio 18, 2016
Pamoja na watoto wa Makobeni, hii ni watoto kenya onlus project
Xlestrade ilikutana na Lara Bertoncello na Frarncesco Moschini, wafanyakazi wakujitolea na wasemaji wa Watoto Kenya Onlus kule Padova. Watoto Kenya Onlus ilizaliwa mwaka wa 2004 na kikundi cha marafiki kutoka Roma. Wakifuata ushauri wa Sabrina Sabbatini na Italo Ciprianikulihamia Malindi, mji wa kitalii waliyoizuru tangu miaka ya 1980. Waliamua wakiwa Kenya wataisaidia jamii ile haswa watoto … Continua a leggere >>
Categorie:
Tags: Makobeni Kenya, Malindi Child Protection Center, Malindi Kenya, Watoto Kenya Onlus
Commenti disabilitati su Pamoja na watoto wa Makobeni, hii ni watoto kenya onlus project