Daily Archives: Agosto 17, 2016
Kutafuta furaha, ndio lengo la The Nanyuki Furaha Foundation
Katika Makala hii tutaandika kuhusu furaha kwasababu ni furaha ambayo inawawezesha wanashirika hili kutendakazi zao vyema kama vile ni asante kwa furaha, tuliweza kujuzwa kuwahusu, ndiyo tuweze asiliana nao na kujenga huu uhusiano. Tulifanya mkutano na Andreina Iorio, mmoja wapo wa waanzilishi wa The Nanyuki Furaha Foundation mwaka wa 2014 pamoja na Cleopas Wachira. Shirika … Continua a leggere >>
Categorie:
Tags: Andreina Iorio, Cleopas Wachira, Nanyuki Kenya, The Nanyuki Furaha Foundation
Commenti disabilitati su Kutafuta furaha, ndio lengo la The Nanyuki Furaha Foundation